ALIECHOMWA NA MKUKI APATA PIGO TENA.

Mkazi huyo wa Mkoani Morogoro wilaya ya kilosa tarafa ya Dodoma isanga( Agustino Mtitu),Aliepata masaha hayo yaliyotokea Desemba 25 mwaka huu,alipokua akiamua vurugu kati ya wakulima na wafugaji..Amepata pigo lingine baada ya kukimbiwa na familia yake na kuelekea pasipojulikana. Wakati afya yake ikiendelea kuimarika,Agustino amesikitishwa na kitendo hicho na kuomba msaada kwa watu.
Pamoja na hayo majeruhi huyo (Agustino Mtitu) yuko chini ya uangalizi wa madaktari wa hospital ya rufaa alipokua.
Licha ya misaada inayotolewa afya yake inazidi kuarika pamoja na kuwa na jeraha kubwa sehemu aliyochomwa mkuki huo.

Post a Comment

0 Comments