MH.SAMIA SULUHU AFANYA MATEMBEZI YA AMANI

Makamu wa Raisi Leo MH.mama Samia Suluhu Hassan,amefanya matembezi ya amani kwa lengo la kujiweka sawa kiafya hususani mazoezi ya viungo.
Akiwa na kaimu mkuu wa Dar es salaam MH.Ally Hapo na wengine waliojitokeza kujiunga nae katika kushiriki mazoezi hayo.
Mazoezi hayo yalianzia katika makazi ya MH makamu wa raisi ,Oysterbay Dar es salaam kwa kuzunguka mitaa hiyo na kumalizikia huko Masaki.

Post a Comment

0 Comments