DIAMOND APELEKWA MAHAKAMANI NA HAMISA MOBETTO

Msanii mahiri wa Muziki wa kizazi kipya,Nasib Abdul aka @diamondplatnumzakizungumza jambo na wakili wake nje ya Mahakama baada ya mzazi mwenzake Hamisa Mobeto leo Februari 8 2018 kufika katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini dar kusikiliza shauri la kesi aliyofungua Mobeto akiomba mahakama iamuru Diamond atoe pesa ya matumizi ya mtoto kila mwezi.
Diamond platnumz anaieleza Bongo house Media grOup kua halukua na kesi wala tatizo lolote zaidi akisisitiza kua ilikua ni katika suala la kujadili na kuweka sawa suala la malezi ya mtoto wako dyllan.
kwa habari kamili usisite kutufuatilia hasa kw kugusa link hapa chini...
https://youtu.be/O-ZziyZoYmc
https://youtu.be/O-ZziyZoYmc

Post a Comment

0 Comments