CORONA YATHIBITIKA KUFIKA NCHINI KENYA NA RWANDA

Wizara ya Afya nchini Rwanda imethibitisha kuwepo kwa mgonjwa wa kwanza wa CoronaVirus nchini humo. Mgonjwa huyo ni raia wa India aliyefika nchini humo Machi 8. Siku ya jana Kenya nayo ilitangaza kumgundua mgonjwa wa kwanza hali ambayo ilizua taharuki zaidi kwa nchi za Afrika Mashariki kutokana na muingiliano wa watu.
Aidha,mamlaka mbalimbali kupitia wizara husika zimezidi kutoa tahadhari juu ya kujikinga NA uginjwa huo unaosambaa kwa kasi.Hii inazua hali ya hatari kwa mataifa ya mashariki ya afrika zikiwemo nchi jirani za Tanzania,Burundi pamoja na Uganda.
Imeandikwa na Capital Ado
Bongo House Medias.

Post a Comment

0 Comments