CORONA;DIAMOND PLATNUMZ ASHINDWA KUPIGA SHOW ULAYA

Mlipuko wa virusi vya corona ambao umesambaa katika mataifa mbali mbali duniani unaonekana kuathiri matukio mbali mbali zinayohusisha mikusanyiko ya watu, miongoni mwa shughuli hizo zikiwa ni matamasha.

Nasib Juma al maarufu Diamond Platnumz kwenye mtandao wake wa kijamii wa Instagram ametangaza kuwa kutokana na Coronavirus ameahirisha Matamasha yake ya Ulaya na kwamba tarehe ya matamasha hayo itatangzwa karibuni:
Awali Diamond alikua amewaalika wapenzi wa muziki wake kuhudhuria matamasha yake mkiwemo tamasha ambalo alitarajia kulifanya nchini Uswiss, ambapo akiwahamasisha kununua tiketi za tamasha mapema:

Post a Comment

1 Comments

  1. Appreciate good work from you! Keep making it lit dude

    ReplyDelete